Sad 38:52 ۞ وعندهم قاصرات الطرف اتراب ٥٢
۞ وَعِندَهُمۡ
قَٰصِرَٰتُ
ٱلطَّرۡفِ
أَتۡرَابٌ
٥٢
Na pamoja nao wake zao wenye kutuliza macho, hirimu zao. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na huko watakuwa nao wanawake ambao macho yao yanawatazama waume zao tu hali wakiwa marika na wao kimiaka.