Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
038

Sad 38:55 هاذا وان للطاغين لشر ماب ٥٥

38:55
هَٰذَاۚ
وَإِنَّ
لِلطَّٰغِينَ
لَشَرَّ
مَـَٔابٖ
٥٥
Ndio hivi! Na hakika wenye kuasi bila ya shaka watapata marudio maovu kabisa; 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Hayo, yaliyotangulia kutajwa sifa zake, ni ya wachamungu. Ama wale wenye kuruka mpaka na kuingia ukafirini na maasi, wao watakuwa na marejeo maovu kabisa na mwisho mbaya sana,
Hayo, yaliyotangulia kutajwa sifa zake, ni ya wachamungu. Ama wale wenye kuruka mpaka na kuingia ukafirini na maasi, wao watakuwa na marejeo maovu kab…
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 38, Ukurasa 456, Juzuu 23

49. Huu ni ukumbusho. Na hakika wachamngu wana marudio mazuri. 50. Bustani za milele zitazo funguliwa milango yao kwa ajili yao. 51. Humo wataegemea matakia, wawe wanaagiza humo matunda mengi na vinywaji. 52. Na pamoja nao wake zao wenye kutuliza macho, hirimu zao. 53. aya ndiyo mliyo ahidiwa kwa Siku ya Hisabu. 54. Hakika hii ndiyo riziki yetu isiyo malizika. 55. Ndio hivi! Na hakika wenye kuasi bila ya shaka watapata marudio maovu kabisa; 56. Nayo ni Jahannamu! Wataingia humo. Nacho hicho ni kitanda kiovu mno cha kulalia. 57. Ndio hivi! Basi na wayaonje maji ya moto na ya usaha! 58. Na adhabu nyenginezo za namna hii. 59. Hili ndilo kundi litakalo ingia pamoja nanyi. Hapana makaribisho mema kwao. Hakika hao wanaingia Motoni. 60. Waseme: Lakini nyinyi! Hamna mapokezi mazuri! Nyinyi ndio mlio tusabibisha haya, napo ni pahala paovu kabisa! 61. Waseme: Mola wetu Mlezi! Aliye tusabibisha haya mzidishie adhabu mara mbili Motoni. 62. Watasema: Tuna nini hata hatuwaoni wale watu ambao tukiwahisabu ndio katika waovu? 63. Tulikosea tulipo wafanyia maskhara, au macho yetu tu hayawaoni ? 64. Hakika hayo bila ya shaka ndiyo makhasimiano ya watu wa Motoni.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia