Sad 38:62 وقالوا ما لنا لا نرى رجالا كنا نعدهم من الاشرار ٦٢
وَقَالُواْ
مَا
لَنَا
لَا
نَرَىٰ
رِجَالٗا
كُنَّا
نَعُدُّهُم
مِّنَ
ٱلۡأَشۡرَارِ
٦٢
Watasema: Tuna nini hata hatuwaoni wale watu ambao tukiwahisabu ndio katika waovu? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na watasema wale waliopita vipimo katika uasi, «Mbona hatuwaoni pamoja na sisi Motoni wale watoto ambao tulikuwa tukiwahesabu duniani kuwa ni miongoni mwa watu waovu wakorofi?
Na watasema wale waliopita vipimo katika uasi, «Mbona hatuwaoni pamoja na sisi Motoni wale watoto ambao tulikuwa tukiwahesabu duniani kuwa ni miongoni…