Sad 38:63 اتخذناهم سخريا ام زاغت عنهم الابصار ٦٣
أَتَّخَذۡنَٰهُمۡ
سِخۡرِيًّا
أَمۡ
زَاغَتۡ
عَنۡهُمُ
ٱلۡأَبۡصَٰرُ
٦٣
Tulikosea tulipo wafanyia maskhara, au macho yetu tu hayawaoni ? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Je, kwani kule kuwadharau kwetu na kuwachezea kulikuwa ni makosa Au wao wako pamoja na sisi Motoni lakini macho yetu bado hayajawaona?»