Sad 38:77 قال فاخرج منها فانك رجيم ٧٧
قَالَ
فَٱخۡرُجۡ
مِنۡهَا
فَإِنَّكَ
رَجِيمٞ
٧٧
Akasema: Basi toka humo, kwani hakika wewe umelaanika. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mwenyezi Mungu Akamwambia, «Basi toka peponi! Wewe, kwa neno lako hilo, umefukuzwa, umeepushwa na kulaaniwa.