Sad 38:80 قال فانك من المنظرين ٨٠
قَالَ
فَإِنَّكَ
مِنَ
ٱلۡمُنظَرِينَ
٨٠
Mwenyezi Mungu akasema: Basi umekwisha kuwa miongoni mwa walio pewa muhula, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mwenyezi Mungu Akasema kumwambia, «Wewe ni miongoni mwa watakaocheleweshwa mpaka Siku ya kipindi maalumu,