Sad 38:82 قال فبعزتك لاغوينهم اجمعين ٨٢
قَالَ
فَبِعِزَّتِكَ
لَأُغۡوِيَنَّهُمۡ
أَجۡمَعِينَ
٨٢
Akasema (Iblisi): Naapa kwa utukufu wako, bila ya shaka nitawapoteza wote, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Iblisi akasema, «Naapa kwa enzi yako, ewe Mola wangu, na utukufu wako! Nitawapoteza binadamu wote,