Hakika katika kuumbwa kwa mbingu na ardhi, na kukhitalifiana usiku na mchana, na marikebu ambazo hupita baharini kwa viwafaavyo watu, na maji anayo yateremsha Mwenyezi Mungu kutoka mbinguni, na kwa hayo akaihuisha ardhi baada ya kufa kwake, na akaeneza humo kila aina ya wanyama; na katika mabadiliko ya pepo, na mawingu yanayo amrishwa kupita baina ya mbingu na ardhi, bila shaka zimo Ishara kwa watu wanao zingatia. 1
Maelezo
The two readings convey the same meaning using the plural and singular (genus), respectively. There is a general pattern in the Quran (among most of its canonical readers) to use the plural in contexts of mercy, i.e. the gentle winds that bring multiple benefits. The singular is more associated with contexts of punishment, as this indicates a singular force. However, this rule has a number of exceptions which may also be explained in a more nuanced way.