Yasyn 36:17 وما علينا الا البلاغ المبين ١٧
وَمَا
عَلَيۡنَآ
إِلَّا
ٱلۡبَلَٰغُ
ٱلۡمُبِينُ
١٧
Wala si juu yetu ila kufikisha ujumbe ulio wazi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na si juu yetu isipokuwa ni kufikisha ujumbe kwa uwazi, na hatuna mamlaka ya kuwafanya muongoke, kwani uongofu uko mikononi mwa Mwenyezi Mungu Peke Yake.»
Na si juu yetu isipokuwa ni kufikisha ujumbe kwa uwazi, na hatuna mamlaka ya kuwafanya muongoke, kwani uongofu uko mikononi mwa Mwenyezi Mungu Peke Ya…