Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
036

Yasyn 36:24 اني اذا لفي ضلال مبين ٢٤

36:24
إِنِّيٓ
إِذٗا
لَّفِي
ضَلَٰلٖ
مُّبِينٍ
٢٤
Basi hakika mimi hapo nitakuwa katika upotovu ulio dhaahiri. 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Mimi nifanyapo hivyo nitakuwa niko kwenya kosa lililo wazi lililojitokeza.
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 36, Ukurasa 441, Juzuu 22

22. NA KWA NINI nisimuabudu yule aliye niumba na kwake mtarejeshwa? 23. Je! Niishike miungu mingine badala yake? Arrahmani, Mwingi wa Rehema, akinitakia madhara uombezi wa hao hautanifaa kitu, wala hawataniokoa. 24. Basi hakika mimi hapo nitakuwa katika upotovu ulio dhaahiri. 25. Hakika mimi nimemuamini Mola wenu Mlezi, basi nisikilizeni! 26. Akaambiwa: Ingia Peponi! Akasema: Laiti kuwa watu wangu wangeli jua 27. Jinsi Mola wangu Mlezi alivyo nisamehe, na akanifanya miongoni mwa walio hishimiwa. 28. Na hatukuwateremshia kaumu yake baada yake jeshi kutoka mbinguni, wala si wenye kuteremsha. 29. Hakukuwa ila ukelele mmoja tu; na mara walizimwa! 30. Nawasikitikia waja wangu. Hawajii Mtume ila wao humkejeli. 31. Je! Hawaoni umma ngapi tulizo ziangamiza kabla yao? Hakika hao hawarejei tena kwao. 32. Na hapana mmoja ila wote watakusanywa waletwe mbele yetu.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia