Yasyn 36:25 اني امنت بربكم فاسمعون ٢٥
إِنِّيٓ
ءَامَنتُ
بِرَبِّكُمۡ
فَٱسۡمَعُونِ
٢٥
Hakika mimi nimemuamini Mola wenu Mlezi, basi nisikilizeni! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mimi nimemuamini Mola wenu, basi nisikilizeni nililowaambia na mnitii mimi kwa kuniamini.» Aliposema hilo, watu wake walimrukia wakamuua, na Mwenyezi Mungu Akamtia Peponi.
Mimi nimemuamini Mola wenu, basi nisikilizeni nililowaambia na mnitii mimi kwa kuniamini.» Aliposema hilo, watu wake walimrukia wakamuua, na Mwenyezi …