Je! Hawaoni umma ngapi tulizo ziangamiza kabla yao? Hakika hao hawarejei tena kwao. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Kwani hawaoni hawa wanaofanya shere na wakapata mazingatio kwa watu wa kame zilizotangulia kabla yao tulizoziangamiza, kuwa wao hawatarudi kwenye dunia hii?