Yasyn 36:39 والقمر قدرناه منازل حتى عاد كالعرجون القديم ٣٩
وَٱلۡقَمَرَ
قَدَّرۡنَٰهُ
مَنَازِلَ
حَتَّىٰ
عَادَ
كَٱلۡعُرۡجُونِ
ٱلۡقَدِيمِ
٣٩
Na mwezi tumeupimia vituo, mpaka unakuwa kama karara kongwe. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na mwezi ni alama katika viumbe vyake. Tumeukadiria uwe na njia za kupitia kila usiku. Unaanza ukiwa mwezi mwandamo mdogo sana na unaendelea kuwa mkubwa mpaka ukawa mwezi mkamilifu mviringo, kisha unarudi kuwa mdogo kama karara la mtende lililobeteka kwa wembamba, kuinama na umanjano, kwa sababu ya …
Na mwezi ni alama katika viumbe vyake. Tumeukadiria uwe na njia za kupitia kila usiku. Unaanza ukiwa mwezi mwandamo mdogo sana na unaendelea kuwa mkub…