Yasyn 36:45 واذا قيل لهم اتقوا ما بين ايديكم وما خلفكم لعلكم ترحمون ٤٥
وَإِذَا
قِيلَ
لَهُمُ
ٱتَّقُواْ
مَا
بَيۡنَ
أَيۡدِيكُمۡ
وَمَا
خَلۡفَكُمۡ
لَعَلَّكُمۡ
تُرۡحَمُونَ
٤٥
Na wanapo ambiwa: Jilindeni na yalioko mbele yenu na yalioko nyuma yenu, ili mpate kurehemewa 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na washirikina wanapoambiwa, «Jihadharini na jambo la Akhera na vituko vyake, hali za dunia na mateso yake, kwa kutarajia rehema ya Mwenyezi Mungu kwenu,» wanapuuza na hawalikubali hilo.
Na washirikina wanapoambiwa, «Jihadharini na jambo la Akhera na vituko vyake, hali za dunia na mateso yake, kwa kutarajia rehema ya Mwenyezi Mungu kwe…