Yasyn 36:53 ان كانت الا صيحة واحدة فاذا هم جميع لدينا محضرون ٥٣
إِن
كَانَتۡ
إِلَّا
صَيۡحَةٗ
وَٰحِدَةٗ
فَإِذَا
هُمۡ
جَمِيعٞ
لَّدَيۡنَا
مُحۡضَرُونَ
٥٣
Haitakuwa ila ukelele mmoja tu, mara wote watahudhuruishwa mbele yetu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakutakuwa kufufuliwa huku isipokuwa ni matokeo ya mvuvio mmoja katika barugumu, punde si punde viumbe wote watasimama watakuwa wamesimama mbele yetu wapate kuhesabiwa na kulipwa.
Hakutakuwa kufufuliwa huku isipokuwa ni matokeo ya mvuvio mmoja katika barugumu, punde si punde viumbe wote watasimama watakuwa wamesimama mbele yetu …