Yasyn 36:56 هم وازواجهم في ظلال على الارايك متكيون ٥٦
هُمۡ
وَأَزۡوَٰجُهُمۡ
فِي
ظِلَٰلٍ
عَلَى
ٱلۡأَرَآئِكِ
مُتَّكِـُٔونَ
٥٦
Wao na wake zao wamo katika vivuli wameegemea juu ya viti vya fakhari. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wao na wake zao watakuwa wanajistarehesha juu ya vitanda vilivyopambwa , na chini ya vivuli vilivyoenea.