Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Yasyn 36:61

36:61
وان اعبدوني هاذا صراط مستقيم ٦١
وَأَنِ ٱعْبُدُونِى ۚ هَـٰذَا صِرَٰطٌۭ مُّسْتَقِيمٌۭ ٦١
وَأَنِ
ٱعۡبُدُونِيۚ
هَٰذَا
صِرَٰطٞ
مُّسۡتَقِيمٞ
٦١
Na ya kwamba mniabudu Mimi? Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
«Na nikawaamrisha mniabudu mimi peke yangu, kwani kuniabudu mimi na kunitii na kumuasi Shetani ndiyo Dini iliyonyoka yenye kupelekea kupata radhi zangu na mabustani ya Pepo yangu.