Yasyn 36:72 وذللناها لهم فمنها ركوبهم ومنها ياكلون ٧٢
وَذَلَّلۡنَٰهَا
لَهُمۡ
فَمِنۡهَا
رَكُوبُهُمۡ
وَمِنۡهَا
يَأۡكُلُونَ
٧٢
Na Sisi tukawadhalilishia. Basi baadhi yao wako wanao wapanda, na baadhi yao wanawala. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na tukawadhalilishia (hao wanyama kwao). Katika hao kuna wanaowapanda katika safari, na katika hao kuna wanaowabebesha mizigo, na katika hao kuna wanaowala.
Na tukawadhalilishia (hao wanyama kwao). Katika hao kuna wanaowapanda katika safari, na katika hao kuna wanaowabebesha mizigo, na katika hao kuna wana…