Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Yasyn 36:73

36:73
ولهم فيها منافع ومشارب افلا يشكرون ٧٣
وَلَهُمْ فِيهَا مَنَـٰفِعُ وَمَشَارِبُ ۖ أَفَلَا يَشْكُرُونَ ٧٣
وَلَهُمۡ
فِيهَا
مَنَٰفِعُ
وَمَشَارِبُۚ
أَفَلَا
يَشۡكُرُونَ
٧٣
Na wao wanapata kwao manufaa na vinywaji. Basi je, hawashukuru? 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na katika hao wanyama, wana manufaa mengine ya kunufaika nayo, kama vile kunufaika kwa sufi zao, mabele yao na nywele zao kwa matumizi ya nyumbani, mavazi na mengineyo, na wanakunywa maziwa yao. Basi hawamshukuru Mwenyezi Mungu, Ambaye Amewapa neema hizi, na kumtakasia ibada?