Yasyn 36:82 انما امره اذا اراد شييا ان يقول له كن فيكون ٨٢
إِنَّمَآ
أَمۡرُهُۥٓ
إِذَآ
أَرَادَ
شَيۡـًٔا
أَن
يَقُولَ
لَهُۥ
كُن
فَيَكُونُ
٨٢
Hakika amri yake anapo taka kitu ni kukiambia tu: Kuwa! Na kikawa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika amri Yake Anapotaka kitu kiwe ni kukiambia, «Kuwa!» Na kikawa. Na kati ya hizo ni kufisha, kuhuisha, kufufua na kukusanya.