Yunus 10:42 ومنهم من يستمعون اليك افانت تسمع الصم ولو كانوا لا يعقلون ٤٢
وَمِنۡهُم
مَّن
يَسۡتَمِعُونَ
إِلَيۡكَۚ
أَفَأَنتَ
تُسۡمِعُ
ٱلصُّمَّ
وَلَوۡ
كَانُواْ
لَا
يَعۡقِلُونَ
٤٢
Na wapo miongoni mwao wanao kusikiliza. Je, wewe unaweza kuwafanya viziwi wasikie ijapo kuwa hawafahamu? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na miongoni mwa makafiri kuna wanaosikia maneno yako ya kweli na usomaji wako Qur’ani, lakini wao hawaongoki. Je, kwani wewe unaweza kuwasikizisha viziwi? Vilevile, huwezi kuwaongoa hawa isipokuwa Mwenyezi Mungu Atake kuwaongoa, kwa kuwa wao ni viziwi, hawaisikii haki na hawaielewi.
Na miongoni mwa makafiri kuna wanaosikia maneno yako ya kweli na usomaji wako Qur’ani, lakini wao hawaongoki. Je, kwani wewe unaweza kuwasikizisha viz…