Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Yunus 10:44

10:44
ان الله لا يظلم الناس شييا ولاكن الناس انفسهم يظلمون ٤٤
إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَظْلِمُ ٱلنَّاسَ شَيْـًۭٔا وَلَـٰكِنَّ ٱلنَّاسَ أَنفُسَهُمْ يَظْلِمُونَ ٤٤
إِنَّ
ٱللَّهَ
لَا
يَظۡلِمُ
ٱلنَّاسَ
شَيۡـٔٗا
وَلَٰكِنَّ
ٱلنَّاسَ
أَنفُسَهُمۡ
يَظۡلِمُونَ
٤٤
Hakika Mwenyezi Mungu hawadhulumu watu kitu chochote; lakini watu wenyewe wanajidhulumu nafsi zao. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Mwenyezi Mungu Hawadhulumu watu kitu chochote, kwa kuwaongezea makosa yao na kuwapunguzia mema yao, lakini watu ndio wanaojidhulumu nafsi zao kwa kukufuru, kuasi na kwenda kinyume na maamrisho ya Mwenyezi Mungu na makatazo Yake.