Yusuf 12:107 افامنوا ان تاتيهم غاشية من عذاب الله او تاتيهم الساعة بغتة وهم لا يشعرون ١٠٧
أَفَأَمِنُوٓاْ
أَن
تَأۡتِيَهُمۡ
غَٰشِيَةٞ
مِّنۡ
عَذَابِ
ٱللَّهِ
أَوۡ
تَأۡتِيَهُمُ
ٱلسَّاعَةُ
بَغۡتَةٗ
وَهُمۡ
لَا
يَشۡعُرُونَ
١٠٧
Je! Wanaaminisha kuwa haitowajia adhabu ya Mwenyezi Mungu ya kuwagubika, au haitawafikia Saa ya Kiyama kwa ghafla, na hali hawatambui?. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Je, wana chochote kinachowafanya wameaminika isiwashukie wao adhabu kutoka kwa Mwenyezi Mungu yenye kuwaenea au iwajie wao Siku ya Kiyama ghafla na hali wao hawatambui wala hawana hisia na hilo.
Je, wana chochote kinachowafanya wameaminika isiwashukie wao adhabu kutoka kwa Mwenyezi Mungu yenye kuwaenea au iwajie wao Siku ya Kiyama ghafla na ha…