Yusuf 12:46 يوسف ايها الصديق افتنا في سبع بقرات سمان ياكلهن سبع عجاف وسبع سنبلات خضر واخر يابسات لعلي ارجع الى الناس لعلهم يعلمون ٤٦
يُوسُفُ
أَيُّهَا
ٱلصِّدِّيقُ
أَفۡتِنَا
فِي
سَبۡعِ
بَقَرَٰتٖ
سِمَانٖ
يَأۡكُلُهُنَّ
سَبۡعٌ
عِجَافٞ
وَسَبۡعِ
سُنۢبُلَٰتٍ
خُضۡرٖ
وَأُخَرَ
يَابِسَٰتٖ
لَّعَلِّيٓ
أَرۡجِعُ
إِلَى
ٱلنَّاسِ
لَعَلَّهُمۡ
يَعۡلَمُونَ
٤٦
Yusuf! Ewe mkweli! Tueleze nini maana ya ng'ombe saba wanene kuliwa na ng'ombe saba walio konda. Na mashuke saba mabichi na mengine makavu, ili nirejee kwa watu wapate kujua. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Alipofika yule mtu kwa Yūsuf alimwambia, «Yūsuf! Ewe mkweli sana! Tuagulie ndoto ya aliyeota ng’ombe saba wanono wanaliwa na ng’ombe saba waliokonda, na akaona masuke saba mabichi na mengine makavu. Natarajia nitarudi kwa mfalme na marafiki zake niwape tafsiri ya hiyo niliyokuuliza na ili wapate kuj…
Alipofika yule mtu kwa Yūsuf alimwambia, «Yūsuf! Ewe mkweli sana! Tuagulie ndoto ya aliyeota ng’ombe saba wanono wanaliwa na ng’ombe saba waliokonda, …