Yusuf 12:47 قال تزرعون سبع سنين دابا فما حصدتم فذروه في سنبله الا قليلا مما تاكلون ٤٧
قَالَ
تَزۡرَعُونَ
سَبۡعَ
سِنِينَ
دَأَبٗا
فَمَا
حَصَدتُّمۡ
فَذَرُوهُ
فِي
سُنۢبُلِهِۦٓ
إِلَّا
قَلِيلٗا
مِّمَّا
تَأۡكُلُونَ
٤٧
Akasema: Mtalima miaka saba kwa juhudi. Mtacho vuna kiwacheni katika mashuke yake, isipo kuwa kidogo mtacho kula. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Yūsuf akasema kumwambia aliyemuuliza juu ya ndoto ya mfalme. «Uaguzi wa ndoto hii ni kwamba nyinyi mtaendelea kulima kwa bidii kwa myaka saba mfululizo ili mapato yawe mengi, basi kile mtakachokivuna kila mara kiwekeni akiba na mkiache kwenye masuke yake ili kihifadhike na kuingiwa na wadudu na ili …
Yūsuf akasema kumwambia aliyemuuliza juu ya ndoto ya mfalme. «Uaguzi wa ndoto hii ni kwamba nyinyi mtaendelea kulima kwa bidii kwa myaka saba mfululiz…