Yusuf 12:74 قالوا فما جزاوه ان كنتم كاذبين ٧٤
قَالُواْ
فَمَا
جَزَٰٓؤُهُۥٓ
إِن
كُنتُمۡ
كَٰذِبِينَ
٧٤
Wakasema: Basi malipo yake yatakuwa nini ikiwa nyinyi ni waongo. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wale waliopewa jokumu la kukitafuta kipimio walisema kuwaambia ndugu zake Yūsuf, «Ni ipi adhabu ya mwizi kwenu nyinyi, iwapo nyinyi ni warongo katika kauli yenu: ‘sisi si wezi’?»
Wale waliopewa jokumu la kukitafuta kipimio walisema kuwaambia ndugu zake Yūsuf, «Ni ipi adhabu ya mwizi kwenu nyinyi, iwapo nyinyi ni warongo katika …