Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
43:42
او نرينك الذي وعدناهم فانا عليهم مقتدرون ٤٢
أَوْ نُرِيَنَّكَ ٱلَّذِى وَعَدْنَـٰهُمْ فَإِنَّا عَلَيْهِم مُّقْتَدِرُونَ ٤٢
أَوۡ
نُرِيَنَّكَ
ٱلَّذِي
وَعَدۡنَٰهُمۡ
فَإِنَّا
عَلَيۡهِم
مُّقۡتَدِرُونَ
٤٢
Au tutakuonyesha tulio waahidi. Nasi bila ya shaka tuna uweza juu yao. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadithi
Au tutakuonyesha lile tulilowaahidi la adhabu yenye kuwashukia, kama ilivyokuwa siku ya Badr, kwani sisi tuna uweza juu yao tutakupa ushindi juu yao na tutawafedhehi kwa mkono wako na kwa mikono ya wenye kukuamini,