Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
15:78
وان كان اصحاب الايكة لظالمين ٧٨
وَإِن كَانَ أَصْحَـٰبُ ٱلْأَيْكَةِ لَظَـٰلِمِينَ ٧٨
وَإِن
كَانَ
أَصۡحَٰبُ
ٱلۡأَيۡكَةِ
لَظَٰلِمِينَ
٧٨
Na Hakika watu wa kichakani, walikuwa wenye kudhulumu 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadithi
Na kwa hakika, wakazi wa mji uliozingirwa na miti, nao ni watu wa Shu'ayb, walikuwa ni wenye kuzidhulumu nafsi zao kwa kumkanusha Mwenyezi Mungu na Mtume wao mtukufu.