Ad-Dukhan 44:36 فاتوا باباينا ان كنتم صادقين ٣٦
فَأۡتُواْ
بِـَٔابَآئِنَآ
إِن
كُنتُمۡ
صَٰدِقِينَ
٣٦
Basi warudisheni baba zetu, ikiwa nyinyi mnasema kweli. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wanasema pia, «Basi tuletee, ewe Muhammad: wewe na walio pamoja na wewe, wazazi wetu waliokufa, iwapo nyinyi ni wakweli kwamba Mwenyezi Mungu Atawafufua walio makaburini wakiwa hai.”
Na wanasema pia, «Basi tuletee, ewe Muhammad: wewe na walio pamoja na wewe, wazazi wetu waliokufa, iwapo nyinyi ni wakweli kwamba Mwenyezi Mungu Atawa…