Adh-Dhaariyat 51:38 وفي موسى اذ ارسلناه الى فرعون بسلطان مبين ٣٨
وَفِي
مُوسَىٰٓ
إِذۡ
أَرۡسَلۡنَٰهُ
إِلَىٰ
فِرۡعَوۡنَ
بِسُلۡطَٰنٖ
مُّبِينٖ
٣٨
Na katika khabari za Musa, tulipo mtuma kwa Firauni na hoja wazi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na katika kumtumiliza kwetu Mūsā, aende kwa Fir'awn na wakuu wa utawala wake, kwa aya na miujiza yenye kushinda, kuna alama kwa wanaoogopa adhabu kali.
Na katika kumtumiliza kwetu Mūsā, aende kwa Fir'awn na wakuu wa utawala wake, kwa aya na miujiza yenye kushinda, kuna alama kwa wanaoogopa adhabu kali…