Al-Aaraf 7:108 ونزع يده فاذا هي بيضاء للناظرين ١٠٨
وَنَزَعَ
يَدَهُۥ
فَإِذَا
هِيَ
بَيۡضَآءُ
لِلنَّٰظِرِينَ
١٠٨
Na akatoa mkono wake, mara ukawa mweupe kwa watazamao. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na akauvuta mkono wake kutoka kwenye uwazi wa kanzu iliyofunguliwa kifuani au chini ya kapwa lake, na papo hapo ukawa mweupe kama maziwa usio na mbalanga, ukiwa ni alama kwa Fir'awn; akiurejesha unarudi rangi yake ya mwanzo, kama ulivyo mwili wake.
Na akauvuta mkono wake kutoka kwenye uwazi wa kanzu iliyofunguliwa kifuani au chini ya kapwa lake, na papo hapo ukawa mweupe kama maziwa usio na mbala…