Al-Muuminun 23:11 الذين يرثون الفردوس هم فيها خالدون ١١
ٱلَّذِينَ
يَرِثُونَ
ٱلۡفِرۡدَوۡسَ
هُمۡ
فِيهَا
خَٰلِدُونَ
١١
Ambao watairithi Pepo ya Firdausi, wadumu humo. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ambao watairithi Pepo ya juu kabisa na ya kati na kati, nayo ndiyo yenye mashukio bora zaidi kuliko zote, wao humo watakaa milele, neema zao hazitakatika wala hazitaondoka.
Ambao watairithi Pepo ya juu kabisa na ya kati na kati, nayo ndiyo yenye mashukio bora zaidi kuliko zote, wao humo watakaa milele, neema zao hazitakat…