Al-Muuminun 23:40 قال عما قليل ليصبحن نادمين ٤٠
قَالَ
عَمَّا
قَلِيلٖ
لَّيُصۡبِحُنَّ
نَٰدِمِينَ
٤٠
(Mwenyezi Mungu) akasema: Baada ya muda mchache watakuwa wenye kujuta. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mwenyezi Mungu Akasema Akiyakubali maombi yake, «Kwa muda mchache watakuwa ni wenye kujuta.» Yaani, baada ya kipindi cha muda mchache watakuwa na majuto hao wakanushaji.»
Mwenyezi Mungu Akasema Akiyakubali maombi yake, «Kwa muda mchache watakuwa ni wenye kujuta.» Yaani, baada ya kipindi cha muda mchache watakuwa na maju…