Al-Muuminun 23:88 قل من بيده ملكوت كل شيء وهو يجير ولا يجار عليه ان كنتم تعلمون ٨٨
قُلۡ
مَنۢ
بِيَدِهِۦ
مَلَكُوتُ
كُلِّ
شَيۡءٖ
وَهُوَ
يُجِيرُ
وَلَا
يُجَارُ
عَلَيۡهِ
إِن
كُنتُمۡ
تَعۡلَمُونَ
٨٨
Sema: Ni nani mkononi mwake umo Ufalme wa kila kitu, naye ndiye anaye linda, wala hakilindwi asicho taka, kama mnajua? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Sema, «Ni nani mmiliki wa kila kitu? Na ni nani Ambaye mkononi Mwake kuna hazina za kila kitu? Na ni nani Anayempa himaya mwenye kutaka himaya Yake, ambapo hakuna anayeweza kumhami na kumlinda yule ambaye Mwenyezi Mungu Anataka kumuangamiza wala hakuna anayekinga shari Aliyoikadiria Mwenyezi Mungu, …
Sema, «Ni nani mmiliki wa kila kitu? Na ni nani Ambaye mkononi Mwake kuna hazina za kila kitu? Na ni nani Anayempa himaya mwenye kutaka himaya Yake, a…