An-Naml 27:29 قالت يا ايها الملا اني القي الي كتاب كريم ٢٩
قَالَتۡ
يَٰٓأَيُّهَا
ٱلۡمَلَؤُاْ
إِنِّيٓ
أُلۡقِيَ
إِلَيَّ
كِتَٰبٞ
كَرِيمٌ
٢٩
(Malkia) akasema: Enyi wahishimiwa! Hakika nimeletewa barua tukufu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hud-hud alienda akamrushia malkia ile barua. Papo hapo akaisoma na akawakasunya watukufu wa watu wake, na akamsikia akisema, «Mimi nimefikiwa na barua tukufu yenye cheo kutoka kwa mtu mkubwa wa cheo.»
Hud-hud alienda akamrushia malkia ile barua. Papo hapo akaisoma na akawakasunya watukufu wa watu wake, na akamsikia akisema, «Mimi nimefikiwa na barua…