An-Nisaa 4:109 ها انتم هاولاء جادلتم عنهم في الحياة الدنيا فمن يجادل الله عنهم يوم القيامة ام من يكون عليهم وكيلا ١٠٩
هَٰٓأَنتُمۡ
هَٰٓؤُلَآءِ
جَٰدَلۡتُمۡ
عَنۡهُمۡ
فِي
ٱلۡحَيَوٰةِ
ٱلدُّنۡيَا
فَمَن
يُجَٰدِلُ
ٱللَّهَ
عَنۡهُمۡ
يَوۡمَ
ٱلۡقِيَٰمَةِ
أَم
مَّن
يَكُونُ
عَلَيۡهِمۡ
وَكِيلٗا
١٠٩
Hivyo nyinyi mmewatetea hawa katika uhai huu wa duniani. Basi nani atakaye watetea kwa Mwenyezi Mungu Siku ya Kiyama? Au ni nani atakuwa wakili wao wa kumtegemea?. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Haya nyinyi, enyi Waumini, mnatoa hoja za kuwatetea hawa mahaini wa nafsi zao katika huu uhai wa kilimwengu. Basi, ni nani mwenyemuhoji Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, kwa kuwatetea wao Siku ya kufufuliwa na kuhesabiwa? Au ni nani atakayekuwa wakili wao Siku ya Kiyama?
Haya nyinyi, enyi Waumini, mnatoa hoja za kuwatetea hawa mahaini wa nafsi zao katika huu uhai wa kilimwengu. Basi, ni nani mwenyemuhoji Mwenyezi Mungu…