An-Nisaa 4:175 فاما الذين امنوا بالله واعتصموا به فسيدخلهم في رحمة منه وفضل ويهديهم اليه صراطا مستقيما ١٧٥
فَأَمَّا
ٱلَّذِينَ
ءَامَنُواْ
بِٱللَّهِ
وَٱعۡتَصَمُواْ
بِهِۦ
فَسَيُدۡخِلُهُمۡ
فِي
رَحۡمَةٖ
مِّنۡهُ
وَفَضۡلٖ
وَيَهۡدِيهِمۡ
إِلَيۡهِ
صِرَٰطٗا
مُّسۡتَقِيمٗا
١٧٥
Ama wale walio muamini Mwenyezi Mungu, na wakashikamana naye, basi atawatia katika rehema yake na fadhila, na atawaongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ama wale waliomuamini Mwenyezi Mungu kiitikadi, kimaneno na kivitendo, na wakashikamana na Nuru ambayo waliteremshiwa, Atawaingiza Peponi ikiwa ni rehema na fadhila kutoka Kwake na Atawaafikia kufuata njia iliolingana sawa, itakayopelekea kwenye mabustani ya Peponi.
Ama wale waliomuamini Mwenyezi Mungu kiitikadi, kimaneno na kivitendo, na wakashikamana na Nuru ambayo waliteremshiwa, Atawaingiza Peponi ikiwa ni reh…