Az-Zumar 39:33 والذي جاء بالصدق وصدق به اولايك هم المتقون ٣٣
وَٱلَّذِي
جَآءَ
بِٱلصِّدۡقِ
وَصَدَّقَ
بِهِۦٓ
أُوْلَٰٓئِكَ
هُمُ
ٱلۡمُتَّقُونَ
٣٣
Na aliye ileta Kweli na akaithibitisha - hao ndio wachamngu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na yule aliyekuja na ukweli wa maneno na vitendo, miongoni mwa Manabii na wafuasi wao, na akaukubali kiimani na kivitendo, hao ndio waliokusanya sifa za uchamungu, akiwa mbele yao yule aliye mwisho wa Manabii na Mitume, Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, na wale wenye kumuamini, …
Na yule aliyekuja na ukweli wa maneno na vitendo, miongoni mwa Manabii na wafuasi wao, na akaukubali kiimani na kivitendo, hao ndio waliokusanya sifa …