Ibrahim 14:40 رب اجعلني مقيم الصلاة ومن ذريتي ربنا وتقبل دعاء ٤٠
رَبِّ
ٱجۡعَلۡنِي
مُقِيمَ
ٱلصَّلَوٰةِ
وَمِن
ذُرِّيَّتِيۚ
رَبَّنَا
وَتَقَبَّلۡ
دُعَآءِ
٤٠
Mola wangu Mlezi! Nijaalie niwe mwenye kushika Swala, na katika dhuriya zangu pia. Ewe Mola wetu Mlezi, na ipokee dua yangu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Ewe Mola wangi! Nijaalie ni mwenye kuendelea kutekeleza Swala kwa njia ya ukamilifu zaidi na ujaalie katika kizazi changu wenye kuendelea nayo. Ewe Mola wetu! Na uyakubali maombi yangu na uikubali ibada yangu.
«Ewe Mola wangi! Nijaalie ni mwenye kuendelea kutekeleza Swala kwa njia ya ukamilifu zaidi na ujaalie katika kizazi changu wenye kuendelea nayo. Ewe M…