Nuh 71:27 انك ان تذرهم يضلوا عبادك ولا يلدوا الا فاجرا كفارا ٢٧
إِنَّكَ
إِن
تَذَرۡهُمۡ
يُضِلُّواْ
عِبَادَكَ
وَلَا
يَلِدُوٓاْ
إِلَّا
فَاجِرٗا
كَفَّارٗا
٢٧
Hakika ukiwaacha watawapoteza waja wako, wala wao hawatazaa ila waovu makafiri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hao ukiwaacha, bila kuwaangamiza, watawapoteza waja wako waliokuamini na kuwapotosha njia ya haki, na haji yoyote kutokana na migongo yao na vizazi vyao isipokuwa yule aliyepotoka na njia ya haki na kukukanusha wewe sana na kukuasi.
Hao ukiwaacha, bila kuwaangamiza, watawapoteza waja wako waliokuamini na kuwapotosha njia ya haki, na haji yoyote kutokana na migongo yao na vizazi vy…