Yasyn 36:7 لقد حق القول على اكثرهم فهم لا يومنون ٧
لَقَدۡ
حَقَّ
ٱلۡقَوۡلُ
عَلَىٰٓ
أَكۡثَرِهِمۡ
فَهُمۡ
لَا
يُؤۡمِنُونَ
٧
Bila ya shaka kauli imekwisha thibiti juu ya wengi katika wao, kwa hivyo hawaamini. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika imeshapasa adhabu juu ya wengi wa hawa makafiri, baada ya kuonyeshwa haki wakaikataa, kwa kuwa hawamuamini Mwenyezi Mungu wala Mtume Wake wala hawafuati Sheria Zake kivitendo.
Hakika imeshapasa adhabu juu ya wengi wa hawa makafiri, baada ya kuonyeshwa haki wakaikataa, kwa kuwa hawamuamini Mwenyezi Mungu wala Mtume Wake wala …