Yusuf 12:14 قالوا لين اكله الذيب ونحن عصبة انا اذا لخاسرون ١٤
قَالُواْ
لَئِنۡ
أَكَلَهُ
ٱلذِّئۡبُ
وَنَحۡنُ
عُصۡبَةٌ
إِنَّآ
إِذٗا
لَّخَٰسِرُونَ
١٤
Wakasema: Ikiwa mbwa mwitu atamla na hali sisi ni kundi lenye nguvu kabisa, basi bila ya shaka sisi tutakuwa khasarani. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wakasema ndugu zake Yūsuf kumwambia baba yao, «Ikiwa mbwamwitu atamla na hali sisi ni kikundi chenye nguvu, sisi wakati huo tutakuwa ni wenye kupata hasara, hatuna wema wowote, na hakuna manufaa yoyote yanayotarajiwa kutoka kwetu.»
Wakasema ndugu zake Yūsuf kumwambia baba yao, «Ikiwa mbwamwitu atamla na hali sisi ni kikundi chenye nguvu, sisi wakati huo tutakuwa ni wenye kupata h…