Aali-Imran 3:127 ليقطع طرفا من الذين كفروا او يكبتهم فينقلبوا خايبين ١٢٧
لِيَقۡطَعَ
طَرَفٗا
مِّنَ
ٱلَّذِينَ
كَفَرُوٓاْ
أَوۡ
يَكۡبِتَهُمۡ
فَيَنقَلِبُواْ
خَآئِبِينَ
١٢٧
Haya ni kwa ajili awakate sehemu katika walio kufuru, au awahizi wapate kurejea nyuma nao wamepwelewa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na ilikuwa nusura ya Mwenyezi Mungu katika vita vya Badr ni kwa ajili Apate kukiangamiza kikundi cha makafiri kwa kuuawa na yule atakayeokoka na kifo kati yao, basi atarudi akiwa na huzuni, upetwe na dhiki za nafsi yake na unaonekana kwake utwevu na aibu.
Na ilikuwa nusura ya Mwenyezi Mungu katika vita vya Badr ni kwa ajili Apate kukiangamiza kikundi cha makafiri kwa kuuawa na yule atakayeokoka na kifo …