Aali-Imran 3:17 الصابرين والصادقين والقانتين والمنفقين والمستغفرين بالاسحار ١٧
ٱلصَّٰبِرِينَ
وَٱلصَّٰدِقِينَ
وَٱلۡقَٰنِتِينَ
وَٱلۡمُنفِقِينَ
وَٱلۡمُسۡتَغۡفِرِينَ
بِٱلۡأَسۡحَارِ
١٧
Wanao subiri, wanao sema kweli, na wat'iifu, na wanao toa sadaka, na wanao omba maghafira kabla ya alfajiri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hawa ndio waliosifika kwa subira juu ya kumtii Mwenyezi Mungu, kuepuka maasia na juu ya shida zinazowafikia zilizokadiriwa na Mwenyezi Mungu. Na ndio waliosifika kwa ukweli wa maneno na vitendo na kutii kikamilifu. Na ndio waliosifika kwa utoaji, wa siri na wadhahiri, na kwa kuleta istighfar: kuomba…
Hawa ndio waliosifika kwa subira juu ya kumtii Mwenyezi Mungu, kuepuka maasia na juu ya shida zinazowafikia zilizokadiriwa na Mwenyezi Mungu. Na ndio …