Al-Aaraf 7:41 لهم من جهنم مهاد ومن فوقهم غواش وكذالك نجزي الظالمين ٤١
لَهُم
مِّن
جَهَنَّمَ
مِهَادٞ
وَمِن
فَوۡقِهِمۡ
غَوَاشٖۚ
وَكَذَٰلِكَ
نَجۡزِي
ٱلظَّٰلِمِينَ
٤١
Jahannamu itakuwa kitanda chao na juu yao nguo za moto za kujifunika. Na hivi ndivyo tunavyo walipa madhaalimu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Makafiri hawa ni wenye kukalishwa milele Motoni. Watapata humo kwenye Moto wa Jahanamu tandiko chini yao, na juu yao kutakuwa na mifiniko inayowafinika. Na mfano wa mateso haya mabaya Atawatesa nayo Mwenyezi Mungu wale madhalimu ambao wamekiuka mipaka Yake, wakamkanusha na wakamuasi.
Makafiri hawa ni wenye kukalishwa milele Motoni. Watapata humo kwenye Moto wa Jahanamu tandiko chini yao, na juu yao kutakuwa na mifiniko inayowafinik…