Al-An-Am 6:102 ذالكم الله ربكم لا الاه الا هو خالق كل شيء فاعبدوه وهو على كل شيء وكيل ١٠٢
ذَٰلِكُمُ
ٱللَّهُ
رَبُّكُمۡۖ
لَآ
إِلَٰهَ
إِلَّا
هُوَۖ
خَٰلِقُ
كُلِّ
شَيۡءٖ
فَٱعۡبُدُوهُۚ
وَهُوَ
عَلَىٰ
كُلِّ
شَيۡءٖ
وَكِيلٞ
١٠٢
Huyo ndiye Allah, Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu, hapana mungu ila Yeye, Muumba wa kila kitu. Basi muabuduni Yeye tu. Naye ni Mtegemewa wa kila kitu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Huyo, enyi washirikina, Ndiye Mola wenu, Aliyeshinda na kutukuka; hapana Mwenye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Yeye; Mwenye kuumba kila kitu. Basi mwandameni na mumnyenyekee kwa kumtii na kumuabudu. Na Yeye, kutakata na sifa za upungufu ni Kwake, ni Mtegemewa na ni Mtunzi, Anayaendesha mambo ya viumbe…
Huyo, enyi washirikina, Ndiye Mola wenu, Aliyeshinda na kutukuka; hapana Mwenye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Yeye; Mwenye kuumba kila kitu. Basi mwand…