Al-Anbiyaa 21:48 ولقد اتينا موسى وهارون الفرقان وضياء وذكرا للمتقين ٤٨
وَلَقَدۡ
ءَاتَيۡنَا
مُوسَىٰ
وَهَٰرُونَ
ٱلۡفُرۡقَانَ
وَضِيَآءٗ
وَذِكۡرٗا
لِّلۡمُتَّقِينَ
٤٨
Na kwa yakini tuliwapa Musa na Haaruni kipambanuzi, na mwangaza, na makumbusho kwa wachamngu, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwa hakika, tulimpa Mūsā na Hārūn hoja na ushindi juu ya maadui wao na pia Kitabu, nacho ni Taurati, ambacho kwacho tumepambanua baina ya ukweli na urongo, na ambacho ni nuru ambayo kwayo wanajioongoza wachamungu wenye kuogopa adhabu ya Mola wao.
Kwa hakika, tulimpa Mūsā na Hārūn hoja na ushindi juu ya maadui wao na pia Kitabu, nacho ni Taurati, ambacho kwacho tumepambanua baina ya ukweli na ur…