Al-Anbiyaa 21:76 ونوحا اذ نادى من قبل فاستجبنا له فنجيناه واهله من الكرب العظيم ٧٦
وَنُوحًا
إِذۡ
نَادَىٰ
مِن
قَبۡلُ
فَٱسۡتَجَبۡنَا
لَهُۥ
فَنَجَّيۡنَٰهُ
وَأَهۡلَهُۥ
مِنَ
ٱلۡكَرۡبِ
ٱلۡعَظِيمِ
٧٦
Na Nuhu alipo ita zamani, nasi tukamuitikia, na tukamwokoa yeye na watu wake kutokana na shida kubwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na mkumbuke Nūḥ, ewe Mtume, alipomuita Mola Wake kabla yako na kabla ya Ibrāhīm na Lūṭ, tukaitika mwito wake na tukamuokoa, yeye na watu wake waliomuamini, na makero makubwa.
Na mkumbuke Nūḥ, ewe Mtume, alipomuita Mola Wake kabla yako na kabla ya Ibrāhīm na Lūṭ, tukaitika mwito wake na tukamuokoa, yeye na watu wake waliomua…