Al-Anbiyaa 21:93 وتقطعوا امرهم بينهم كل الينا راجعون ٩٣
وَتَقَطَّعُوٓاْ
أَمۡرَهُم
بَيۡنَهُمۡۖ
كُلٌّ
إِلَيۡنَا
رَٰجِعُونَ
٩٣
Nao wakalikata jambo lao hili mapande mapande baina yao. Wote watarudi kwetu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Lakini watu walitafautiana juu ya Mitume wao, na wengi wa wafauasi wao katika dini walipambanukana wakawa ni makundi na mapote, wakaabudu viumbe na matamanio. Na wote hao ni wenye kurejea kwetu na ni wenye kuhesabiwa juu ya yale waliyoyafanya.
Lakini watu walitafautiana juu ya Mitume wao, na wengi wa wafauasi wao katika dini walipambanukana wakawa ni makundi na mapote, wakaabudu viumbe na ma…