Al-Anfal 8:51 ذالك بما قدمت ايديكم وان الله ليس بظلام للعبيد ٥١
ذَٰلِكَ
بِمَا
قَدَّمَتۡ
أَيۡدِيكُمۡ
وَأَنَّ
ٱللَّهَ
لَيۡسَ
بِظَلَّٰمٖ
لِّلۡعَبِيدِ
٥١
Hayo ni kwa sababu ya yale yaliyo kwisha tangulizwa na mikono yenu, na hakika Mwenyezi Mungu si mwenye kuwadhulumu waja. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Malipo hayo ambayo yamewapata nyinyi, enyi washirikina, ni kwa sababu ya matendo yenu maovu katika maisha yenu ya duniani. Na Mwenyezi Mungu hamdhulumu yoyote, kati ya viumbe Wake, kitu chochote hata kadiri ya uzito wa chungu mdogo. Bali Yeye Ndiye Mwamuzi Muadilifu Asiyedhulumu.
Malipo hayo ambayo yamewapata nyinyi, enyi washirikina, ni kwa sababu ya matendo yenu maovu katika maisha yenu ya duniani. Na Mwenyezi Mungu hamdhulum…